Header Ads

Breaking News
recent

Biharamulo development initiative group

Biharamulo development initiative group  wakifanya maonyesho ya bidhaa wanazo sindika
  1. wanatengeneza unga wa lishe
  2. wanatengeneza chichili, {watu wa pwani wanaita tambi za dengu}
  3. wanatengeneza karanga za mayai
  4. wanatengeneza ubuyu mzuri sana
  5. wanatengeneza sabuni za chooni
  6. sabuni za kigoma
  7. sabuni za maji
  8. sabuni za maji za kunawia mikono
  9. wanatengeneza dawa ya madowa
Powered by Blogger.